Miss Tanzania aingia Top Ten Miss Word
![](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/MISS-TANZANIA-2014.jpg)
Hii ni baada ya furaha kubwa ya watanzania kwa kuchukua ushindi katika jumba la BBA, Idris ndiye aliyeibuka kuwa mshindi wa dola za kimarekani laki tatu, ni baada tu ya siku kadhaa Diamond kuwa mshindi wa tuzo 3 za Channel O.
Hatimaye mshiriki wetu kwenye Mashindano ya Miss World ‘Happiness Watimanya’ ambaye ameiwakilisha vizuri Tanzania kwa kuingia kwenye kumi bora za mashindano ya Miss World huku watanzania tukiwa ndio mara ya kwanza kushiriki.
![](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Happy-Watimanywa-iii.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni