Chris Brown ampigia magodi Karrueche kama itakumbukwa hawa walikuwa wapenzi fuatilia hapa!! mdogomdogo.....!!!!!!!!
Baada ya mastaa hao wawili kumwagana na kuchambana kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoleana siri kuhusu uhusiano wao,Chris aliamua kuomba radhi kwa kuandika ujumbe kupitia kwenye akaunti yake ya instagram.
Ni baada ya Chris Brown na Karrueche kuchafuliana kwenye mitandao ya kijamii baada tu ya kuachana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni