Tafuta katika Blogu Hii

Jumanne, 17 Desemba 2013

JUMUIYA YA WAZAZI YAENDESHA SEMINA MOROGORO

Katibu wa Itikadi na Uenezi mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku, akifungua semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni, leo Des 17, 2013, katika hoteli ya Road View, nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro. Wengine ni Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo, Salum Madenge na Mwenyekiti wa Wazazi Kinondoni, Charles Mgonja.(Picha na Latifa Ganzel)

Baadhi ya Wajumbe wakiwa ukumbini kwenyesemina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni, leo Des 17, 2013, katika hoteli ya Road View, nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro. (Picha na Latifa Ganzel)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni