Tafuta katika Blogu Hii

Jumanne, 9 Aprili 2019

WAZIRI KANGI LUGOLA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI, CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP) 871 WAHITIMU.






Aliyetangulia ni Mh.Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Kangi Lugola anayefuatia ni IGP Saimon Sirro na anayefuata ni Mkuu wa shule ya Polisi CCP ambaye ni Kamishina Msaidizi Mwandamizi (SACAP),Ramadhan Mungi.
                                       FUATILIA TUKIO ZIMA HAPA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Kangi Lugola akisalimiana na Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP Ahmed Msangi alipokua akiwasili katika viwanja vya Shule ya Polisi Moshi CCP wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya askari Polisi 871 waliohitimu mafunzo yao leo  09/04/2019 mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Kangi Lugola wakati alipowasili katika viwanja vya Shule ya Polisi Moshi CCP wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya askari Polisi 871 waliohitimu mafunzo hayo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro. Kushoto kwake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Kangi Lugola akisalimiana na Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP Ahmed Msangi pindi alipowasili katika viwanja vya Shule ya Polisi Moshi CCP wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya askari Polisi 871 waliohitimu mafunzo yao  mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu wakati wa sherehe za mahafali ya kumaliza mafunzo hayo.
TIZAMA PICHA HIZI ZA IGP SIRRO AKISALIMIANA NA BAADHI YA VIONGOZI WA JESHI LA POLISI.



IGP SIRRO AKISALIMIANA NA KAMANDA RPC KILIMANJARO HAMISI ISSA.


SHUHUDIA  MAZOEZI YA MAFUNZO KUTOKA KWA WAHITIMU.
Askari wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu (SUT) wakiwa katika silaha ya kivita aina ya (fourteen) wakati wakifanya onesho maalum wakati wa kufugwa kwa mafunzo ya awali ya askari Polisi katika Shule ya Polisi Moshi CCP.

Askari wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu (SUT) kikipita kwa mwendo wa kunyakua wakati wakifanya onesho maalum wakati wa kufugwa kwa mafunzo ya awali ya askari Polisi katika Shule ya Polisi Moshi CCP.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Kangi Lugola akikagua gwaride la wahitimu katika viwanja vya Shule ya Polisi Moshi CCP kisha kuwatunuku vyeti jumla ya askari 871.