MC-Mtata, Mwani De Omar Nyangasa alifanya yake na kuhakikisha msimu wa kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni linaenda kama lilivyopangwa, Handeni Hoyeeee |
Dkt. Khalfani Haula, Mkurugenzi wa Handeni anawasalimu...Hamjambo Handeni!! |
huyu ndiye Baba mwenye Nyumba, Mkurugenzi wa Mji wa Handeni, Thomas Mzinga |
OCD wa Handeni alikuwepo |
Hawa ni wazee wa Kazi, Azimio Jazz Band....Chezea Mayenuu!! |
huyu naye na Mashuka yake kama Maasai...mwanaokalandima, Machenje wa fataki alifanya yake kikwetu kwetu |
Mtu Nyomi Sana |
Nasema msimu wa kwanza Tamasha la utamaduni Handeni mtu Nyomi sana |
Ohoo unashangaa nini sasa?? huu ndio utamaduni wenyeywe kutoka kwamsisi |
Twende kazi ni ngoma za asili kwa kwenda mbele, hamna Bongo fleva wala Rhumba.....hatariiiiii |
Mzee wa Kijiji...Madini iliyopbaki hapa Handeni kwetu |
Funga kibwebwe tusakate sasa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni