Tafuta katika Blogu Hii

Jumanne, 17 Desemba 2013

YANGA INAONGOZA NANI MTANI JEMBE

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, inayozidhamini Simba na Yanga akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangare (Mzee Kinesi) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Ibrahim Masoud (Maestro) jezi maalum itakayotumika kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe itakayozikutanisha Simba na Yanga kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumamosi tarehe 21 Desemba.  (Picha: Executive Solutions).
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe inayozidhamini Simba na Yanga akimkabidhi Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto jezi maalum itakayotumika kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe itakayozikutanisha Simba na Yanga kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumamosi tarehe 21 Desemba. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa Yanga, George Simba. (Picha: Executive Solutions).
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, inayozidhamini Simba na Yanga akiwakabidhi Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangare na Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto jezi maalum zitakazotumika kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe itakayozikutanisha Simba na Yanga kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumamosi tarehe 21 Desemba. (Picha: Executive Solutions)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni