Tafuta katika Blogu Hii

Jumapili, 13 Julai 2014

JABIR JOHNSON, JIJINI DAR ES SALAAM


SAFARI YAKE INAANZIA HAPA NJIAPANDA, WILAYANI MOSHI.



  NA HII NDIO SAFARI YENYE UHALISIA RUVU, PWANI



 TIA, DAR





UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM



Kijana huyu ni mmoja kati ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro akiwa na sifa ya aina yake ya kuwekeza muda wake pindi anamaliza shughuli za taaluma yake na kuwekeza zaidi katika mazoezi katika kutimiza majukumu yake lakini kubwa zaidi ni uvaaji wake tu! ambao una majibu tosha, kwanini?  

Jabir Johnson,
Blogger & Photo Journalist

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni