Tafuta katika Blogu Hii
Jumanne, 2 Desemba 2014
RAIS OBAMA ATOA AHADI YA KUSHUGHULIKIA UBAGUZI WA RANGI HII LEO.
Rais wa Marekani Barack Obama ameahidi kutumia miaka miwili aliyosalia nayo madarakani kushughulikia tatizo la kutokuwepo imani kati ya maafisa wa usalama na makundi ya walio wachache katika jamii kufuatia mauaji ya kijana mweusi ambaye hakuwa na silaha aliyeuawa kwa kupigwa risasi na askari mzungu.Obama amesema ataanzisha jopo maalumu kuchunguza jinsi ya kuimarisha ushirikiano kati ya jamii ya watu weusi na polisi ili kujenga imani kati yao.
Maelfu ya waandamanaji walifanya maandamano jana katika miji kadhaa nchini Marekani kuishinikiza serikali kuchukua hatua zaidi dhidi ya waliouawa vijana weusi akiwemo Michael Brown na wengine.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni