FUATILIA KWA PICHA ZIFUATAZO UWEPO WA WASHIRIKI.
| Kulia ni Afisa Utamaduni Moshi Manispaa Bw.Francis Shelutete anayefuata ni Mgeni rasmi Bw.Frank Kabuye na Mwisho kabisa nikatibu wa jukwaa la wasanii Kilimanjaro Bw.Abdalla Abubakar (DULA WETU). |
| Aliyevaa kofia ni Mlezi wa Wasanii mkoani Kiimanjaro Bw.Fred Tembi akipeana mikono na Katibu wa jukwaa hilo Bw.Abdalla Abubakar (Dula Wetu). |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni