Tafuta katika Blogu Hii

Jumatatu, 8 Desemba 2014

Alichozungumza Davido baada ya mtanzania kuibuka mshindi wa BBA..!!


Davido yuko katika wakati  mgumu sana na sidhani kama atakuja tena kupiga show yoyote Tanzania maana wananchi wamempania vibaya sana baada ya kuponda ushindi wao nakupa nafasi yakusoma baadhi ya comments zao wanahamasishana.


Msanii Davido 


Hii ndio tweet ya Davido Muda mfupi tu mara baada ya Idris Kutangazwa Mshindi wa BIG BROTHER AFRICA HOTSHOS 2014.

Na Roman Mnzava (habari special.Blog )
Mara tu baada ya Idris Sultani Kutangazwa mshindi wa Big Brother Africa hotshots 2014 hatimaye Msanii kutoka nchini Nigeria Davido aonyesha chuki binafsi kwa Watanzania na Tanzania kwa Ujumla mara baada ya kutweet "They Cheat Again lol" katika ukurasa wake wa tweeter.

Hii inaonyesha wazi kuwa Davido amechukia, na kuumia sana kiasi kwamba akaamua kuonyesha waziwazi chuki zake binafsi kwa kutweet "They Cheat Again lol" Hii inaonyesha wazi kuwa Davido anawachukia sana watanzania na Tanzania kwa ujumla kutokana na Kugalagazwa na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Tanzania Diamond Platnum katika Tuzo za Muziki za Channel O zilizofanyika huko huko Afrika Kusini

Tweet hii imekuja mara tu baada ya Mshiriki Kutoka Nchini Tanzania Idris Sultan kutangazwa Mshindi wa SHindano la Big Brother Africa Hotshots 2014.

Ikumbukwe kuwa Msanii Davido akuweza kuondoka hata na Tuzo moja katika Mashindano hayo ya Channel O yaliyofanyika hivi karibuni Nchini Afrika Kusini

Tweet hiyo imeonyesha wazi kabisa Davido anachuki binafsi kwa Watanzania na Tanzania mara baada ya kugalagazwa na Staa wa Nyimbo ya nitampata wapi Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania.

0 comments:


Post a Comment


Alichoandika Diamond baada ya Davido kuponda ushindi wa Idris na Wake pia



Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.

Mara baada ya Mshiriki wa Tanzania Katika Shindano la Big Brother Africa 2014 Idris Sultan kutangazwa mshindi, watanzania wengi walionekana kufurahishwa sana na Ushindi wake huku wengine wakimpongeza kupitia kurasa zao za Twitter ...

Muda mfupi baadae Msanii Kutoka Nchini Nigeria Davido alionekana waziwazi kukerwa na Ushindi huu wa Mtanzania Idris na kuamua kutweet "N They Cheat Again lol".

Tweet hii ilimfanya Msanii huyo wa Nigeria kushambuliwa kwa Maneno na watanzania wengi katika kurasa zao za twitter.

Usiku huo huo baada ya ushindi wa Idris,Diamond naye aliibuka kidedea kwenye tuzo za The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014 zilizofanyika Lagos Nigeria usiku wa kuamkia leo na kuwatupilia mbali wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.

Baada ya Ushindi huo, Diamond aliamua kumjibu Davido kwa kuandika "Thanks God, we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#Samenight Thank You Allah"

Ugomvi huo wa maneno haukuishia hapo tu, Jokate Mwegelo ambaye ni X-Girlfiriend wa Diamond naye alitoa Onyo kali kwa Davido akimtaka aombe radhi kwa kauli yake:

“I think it’s wise that you give an apology. You don’t need Tanzanians hating you…” Aliandika Jokate.

Alichokisema Nay Wa Mitego  ikiwa ni pamoja na kutangaza vita na davido!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tangazooooooooo uwe dj, mc, presenter, au yoyote Yule ikatokea ukapiga wimbo wa huyu Mr majasho Davido mbele yangu kiukweli nitakupiga tuh!! Yani nitakupiga tuuu!! Ata iwe club nitakufata ulipo mr dj ili nikupe haki yako.. Nilishawai kusema kwny intrvw km mbili ivi kwmb awa jamaa tuwapunguze kiasi coz tunawapa nafasi kubwa kuliko mziki we2 alafu wao hawatupi nafasi ya sisi kupenya kwao,,
haya ndo baadhi ya matokeo sasa.. Huu ni wakati we2 sasa artist wa Tz na east Africa nzima tushikane tusonge..!! 966  Hongera mwanangu mwenyewe diamondplatnumz wanyooshe mi nipo njiani naja kuungana nawewe..!! Nawapenda wote mnaosapoti mziki we2 bila unafiki kwa umoja huu tutafika 2!! Km Huna chakuongea usi comment plzzz coz nitakupa majibu ninayojickia binafsi.. Love you all Nimemaliza

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni